D donydommy Member Joined May 20, 2017 Posts 16 Reaction score 8 Dec 17, 2017 #1 Maneno haya "" utajua kwa nini wazaramo walimuua mwizi kwa kumsuta kwa maneno"" yana maana gani
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,052 Dec 17, 2017 #2 Yana maana hiyo hiyo unayoielewa.
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 38,996 Reaction score 79,072 Dec 17, 2017 #3 Kama mpenzi wako ndiyo kakutamkia, achana naye hamna kitu humo.
bioto JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 1,261 Reaction score 2,099 Dec 17, 2017 #4 donydommy said: Maneno haya "" utajua kwa nini wazaramo walimuua mwizi kwa kumsuta kwa maneno"" yana maana gani Click to expand... Tofauti na wewe nitajie mtu mwingine mwenye sura mbaya
donydommy said: Maneno haya "" utajua kwa nini wazaramo walimuua mwizi kwa kumsuta kwa maneno"" yana maana gani Click to expand... Tofauti na wewe nitajie mtu mwingine mwenye sura mbaya
bioto JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 1,261 Reaction score 2,099 Dec 17, 2017 #5 donydommy said: Maneno haya "" utajua kwa nini wazaramo walimuua mwizi kwa kumsuta kwa maneno"" yana maana gani Click to expand... Tofauti na wewe nitajie mtu mwingine mwenye sura mbaya
donydommy said: Maneno haya "" utajua kwa nini wazaramo walimuua mwizi kwa kumsuta kwa maneno"" yana maana gani Click to expand... Tofauti na wewe nitajie mtu mwingine mwenye sura mbaya