Utani sio kwenye mapenzi jamani

Duh hii chai imewekwa muarobaini.

Mtu anaweza kukaa na mke miaka mitatu asijue huo ushabiki wa mkewe kwa simba au yanga????!!!!
 
Duuh!!!!!!!!!!!! Umri si kipimo cha ustaarabu ila ustaarabu ni matendo yenye umri.
 

Hayatuhusu. Purely, private business. Mpelekee shigongo wa global publishers hii habari yako.
 
ukiwa na njaa tabu sana,mawazo ya ajabu ajabu yanakujia tu
 
daaah nakulaani kwa kunipotezea muda wangu. sikupaswa hata kujaribu kutaka kujaribu kuwaza kufungua huu uzi kwa maana ni uzi kimeo sijapata kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…