Utani Michezoni:Gongo wazi maana yake nini?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
51,994
114,311
Hii "tusi" mara nyingi hulisikia kwa Haji Manara "akiwatukana" Yanga,lakini sikuwahi kujua hasa maana yake na lilitokana na nini

Mwenye kufahamu please
 
Umeniwahi hata mimi nilitaka kuuliza

Kuna mtu nilimuita gongo wazi alimaind sana

Haji manara ndio anapenda kulitumia sana hili neno
 
Ok..zamani Yanga walikuwa wanacheza bila jerseys ndio maana wakaitwa gongo wazi...pia nilisikia kuna mechi timu ya Simba ililazimishwa kuvua viatu ili kuwa sawa na wapinzani wao yanga.
 
Umeniwahi hata mimi nilitaka kuuliza

Kuna mtu nilimuita gongo wazi alimaind sana

Haji manara ndio anapenda kulitumia sana hili neno
Kuna kipindi yanga walicheza bila Jersey wakiwa vifua waz ndomana wakawaita gongo wazi
 
Back
Top Bottom