Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 797
- 896
*#Ujinga_ni_nini *
*Ujinga ni kujikunja kubinua makalio, nywele feki, kucha feki, nyusi feki , makalio feki, vyeti feki , ukakataa [HASHTAG]#Uhalisia[/HASHTAG] wako kwa kudhani wanaume wote wanapenda , wig, nails & makalio feki , #Be_real, wa kukukubali atakukubali jinsi ulivyo..*
*Ujinga ni kuvunja ndoa ya mwenzio, ukidhani wewe utaiweza.. Huu umepitiliza *
*Ujinga ni kumwekea mwenzio kibifu , ambae mmetoka nae chini kiuchumi, kisa tu umepata pesa, umebadilika*
* #Huo_ni_ulimbukeni_na_Upuuzi, Pesa hutimiza tu mahitaji fulani, ila Upendo tu ndio huimarisha mahusiano*
*Taendelea kesho, yakikugusa ndo vzr, ubadilike maana me hapa siwaandikii Ng'ombe (utani)*