Mara kadha nimekuwa nikikumbwa na Hali ya kutokewa na utando wa buibui machoni au niseme usoni niwapo kazini au hata kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale.
Kutokewa na Hali hii kunaleta tafsiri Gani ndugu zanguni?

Suala linaweza kuhusisha mishipa ya fahamu ya uso au pia formication/tafsiri isiyo halisi ya mishipa ya fahamu. Sababu ni nyingi, ni vyema kuwaona wataalamu wa afya kwa kutafuta chanzo na ushauri zaidi kulingana na maiaha kwa ujumla.