happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
umeona eeeh! yaani huo ndio wakti mzuri haswaaa maana hujui huko mbele ya safari kama vitachacha.Rahaaaa, sanaaa. Na sio kweli Kama utaweza kujizuwiaa Kama unapenda kweli, Kama unapenda jiachieee ufurahiye penzi usijidhulumu wala usimdhulumu mwenzio ambizaneni, mtajuaje nn kila mmojawapo anapendaa?
Mapenzi yanakua taratibu yaani mwendo wa kinyonga....Sidhani kama ni muhimu kujieleza saaaana au kujisemea mengi saaana mwanzoni kwani mambo mengine yanajiseti kadri muda uendavyo. Unaweza kuropoka sana ukampeperusha ndege kwani bado hujajenga msingi imara....Ni muhimu kujenga msingi imara wa penzi ndipo uwe wazi zaidi kwa mpenzi. Waswahili wanasema MAPENZI UPOFU kama wako, wako hata aje mwenye kizizi na kama sio wako hata utumie kikombe cha babu utaishia kunawa kula huli.
nakuunga mikono na miguu yote,,,,,,,umemaliza kila kitu sio mwanzo wa penzi unahaditthia hadi babu yako alivyo mshirikina,mama yako anavyogawa uroda,ulivyo kicheche na blah blah nyingi zitampeperusha ndege automatically labda kama utajiachia kutoa yale mazuri mazuri ooooh