Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,195
Kwa wanaume Rijari wanafahamu hili mnara unasoma 5G± zaidi pale wakati wa Kuelekea Alfajiri na ndio muda ambao mkojo huwa unabana sana,
Sasa ukitaka kufaidi utamu wa mkojo wako upate choo safi kama vile vyoo vya masaki utamu wake usipime,
Mkojo unatoka raini ukiwa unanata nata acha kabisa,
Raha ya mkojo huo ni kwamba ukishakojoa unakutoa uchovu wote uliolala nao na unaamka ukiwa na siku yenye Baraka tele na furaha isiyostaimilika.