Sahizi ni muda wa mtori na supuGood morning, ni mapema sana kuwaza ugali mkuu. Au upo ndotoni..
Kwa wazinzi na walevi😀💥Sahizi ni muda wa mtori na supu
Hapana mkuu wengine ndio tunakaribia kubabidhi lindo wala hatukuwa kwenye ulevi au uzinzi.Kwa wazinzi na walevi😀💥
Nyie ni special case😀Hapana mkuu wengine ndio tunakaribia kubabidhi lindo wala hatukuwa kwenye ulevi au uzinzi.
Hii ni kwa watu wote wanaojali afya.
Hahhhhh hapo shwari mkuu..Halafu zisi ive......
Ziwe mbichimbichi hivi...... mixer kitunguu swaumu.
Mashallah na kasamaki kakavu au tunyama twa mbuzi twa kuchoma na kachumbeeeri.......
Kwa ugali wa dona.....
Uliopikwa kwenye chungu na kuni.
Usifany nchezo.
Hapo VP...wajameni....
Fungua mkanda huo.Hautaweza kujipimia kiwango chako.Narudisha nguvu kidogo nikiwa hospital!!
View attachment 3699995
Haichekeshi lakini inachekesha!Narudisha nguvu kidogo nikiwa hospital!!
View attachment 3699995