Utamu wa HD..

Hyo ndo raha ya mwisho ulimwenguni ikifuatiwa na ile ya Hisia kwa mwenye kuhala pindi auonapo msala.
 
Ndiyomaana mkuu wenu amempigia simu Mwana FA na kumpongeza kwa hatua aliyoichukua kuhoji "Ina TV ndani"
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu kwa comment hii lazima jamaa aombe malaika washukee.

Ila jama nae hua sina uhakika kama anajua vizuri kiswahili.
 
Picha inaleta figisufigisu za hapa na pale kwenye ubongo wa mtu mwenye akili timamu.
 
Ewe ndugu twakuomba uitoe hiyo picha mahala hapa kwani hakika yawatia watakatifu wa Mungu (Wakristo) katika majaribu.
Majaribu Mnajitia Wenyewe Wokovu Wenu Mitandaoni Mnatafuta Nini Tena Post Yenyewe Inajieleza Mkuu Weka Nyingine Nimalize Kabisa
 
[emoji41][emoji41][emoji51][emoji51][emoji56][emoji56]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…