Sehemu ya 6
John hakuamini kwa macho yake kama kweli Linda ndio yule alikuwa
anaongea naye huku vinywaji vikiendelea. John ambaye alikuwa anapendelea
sana Wisky tayari alionekana kuanza kubadilika na kufanya asiwe muoga
tena kwa Linda huku akijikuta akianza kupapasa papasa kwenye mapaja
laini ya Linda taratibu mikono ilienda kupanda ngazi taratibu Linda
alianza kujihisi kuishiwa nguvu. Huku John akizidi kumkumbatia na kuanza
kuzungumza kwa njia nyingine huku midomo yao ikiwa pamoja
wakibadilishana ndimi zao na mkono wa John ukiendelea kufanya ziara
kwenye sehemu maalumu za Linda huku Linda akihangaika na kuguna. Mara
wakasikia baadhi ya watu waliokuwepo hapo wakinong'ona baada ya kuwaona.
"Aaah achana nao bwana ndio mambo ya mjini hayo sasa, unashangaa nini
tena hawa wanakula raha zao usiku, wapo wengine mchana kweupee,
ukiwaona hao si ndio utawashangaa zaidi," alisema mmoja wao Miguno na
minong'ono iliendelea kutawala mahala pale huku watu wakiendelea kupata
burudani safi kutoka kwa vijana waliokuwa wanaonyesha vipaji vyao katika
muziki wa kizazi kipya. Gafla Linda alimtaka John kusimamisha ile ziara
ambayo kweli kwa wakati ule walikuwa wamefika mbali sana....