Utamu unapatikana

Yawezekana usiweze kwa % 💯 lakini % 50 za uchakarikaji kuufikia ulipo mwisho wa mlima bado unazo.

Tena mapigo yanakuwa slow kama unacheza nyimbo za akina Hilton


Hamna kitu mapii, hata asilimia 5 sifiki.

Wee kubali tuu Kasie ni kigagula. Huu utamu nimeusemea kwa wanawake wenzangu wengine.

Kweli tena niamini.

K' Matata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…