Maendeleo Ni mipango sio kulipwa mamilion mengi kwa mwezi mmoja, hana akili ya maisha tu, kazi anayo tena ina mshahara mzur ajipange atapiga bingo,
Unajua siku zote akiwa na hao marafiki wanaongea habari za kazi lakini hawaongei vipato vyao, saa ndio amejua kuwa hapati kitu kabisa. Na hapa tambua wamesoma pamoja, degree hiyo hiyo, yeye ameongeza ya pili na yupo njiani kupata ya tatu. Shule ilivyo ngumu na anachotegemea anatamani kuacha.
Ni kweli, lakini unaonaje kama una mipango mizuri halafu na kipato kiko vizuri!!. Tatizo la huyu dogo degree ni hiyo hiyo lakini ameachwa mbali sana kimapato kwa mara 4.Anafikiri kufaulu sana kwake ndio kumemponza!!
it sound kama mtoa mada ni wewe ndo upo katika hali hyo then unatafuta ushauri....
Duuuuh kama alimaliza chuo kwann wasimuunganishie na yy job sehem waliyopo wao kama wanaona rafk yao analipwa kiduchu