Utampa???

Iko hivi, nitachukua halafu sitatumia.
Nikirudi safari nitamkabidhi na kumwambia sikupata dharura, halafu nitamwambia naye anikabidhi...nikikuta limetumika la kwake ndipo shughuli itaanzia hapo
kama akikuambia dharura ilitokea??
 
Mimi nisingepokea,maana hiyo hatari ya kupimana imani.
 
ahaàa umekatoa Kwa kansiime Anne? kuna hata video wawekee waone
 

Akachukue alikozitoa hizo, au alitakiwa awe amebakiza za kwake kabla ya kunipa mimi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…