lutemi JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 1,750 Reaction score 1,402 Feb 1, 2014 #1 Kwa Mara yakwanza naomba ukubali wenu katika jukwaa hili nikiwa member mpya kabisa katika jukwaa hili. Mnipokee lakini tijadiliane kwa kufundishana sote.
Kwa Mara yakwanza naomba ukubali wenu katika jukwaa hili nikiwa member mpya kabisa katika jukwaa hili. Mnipokee lakini tijadiliane kwa kufundishana sote.
pleo JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 3,611 Reaction score 3,049 Feb 2, 2014 #2 Karibu mkuu, darasa umelikuta si lazima daftari, walimu wameshaingia darasani jukwaa la Elimu.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,292 Reaction score 111,443 Feb 2, 2014 #3 Karibu sana JF...
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,415 Reaction score 3,047 Feb 3, 2014 #4 Karibu JF.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,955 Reaction score 13,935 Feb 3, 2014 #5 Karibu sana JF mjukuu.......