Ndg zangu HODI,
Nimekuwa nikiisoma forum hii kwa kitambo na sasa nimeamua kudiriki kujiunga rasmi. Nimeingia hapa kwa kutumia uhalisia wa jina langu kwani naamini ni forum iliyo huru, wazi & salama.
Naomba tena ridhaa yenu wadau ili niwe ni mmoja wa familia hii.
Yousuph .M.