Utambue uislam kwanza kabla ya kuhukumu

Utambue uislam kwanza kabla ya kuhukumu

Status
Not open for further replies.

Wamajanga

Senior Member
Joined
Jun 24, 2014
Posts
133
Reaction score
47
Naanza kwa utambulisho mimi ni muislam na jina langu halisi ni Athumani,mimi elimu yangu katika dini yangu ya uislam si kubwa hata kidogo ila naweza kusema pia si ndogo na pia si Sunnis wala Bakwata ila ni muislam japo nina madhambi kibao ila ni muislam


Ni hivi dhumuni la kuandika mada hii ni kuwaelimisha wale ambao hawaujui uislam vizuri na wanaweza wakawa waislam au si waislam, ni hivi mauaji yote yanayotokea au yanayofanywa kwa kutumia mwamvuli wa dini ya kiislam.


Naanza ALLAH anakataza muislam yoyote kumuua muislam mwenzake pasipokuwa na hizi sababu tatu nazo ni
1.ALIYEUA NAYE AUAWE
yaani ni hivi ikiwa muislam kamuua binadamu mwenzie awe muislam au asiwe muislam basi yapaswa naye auawe.
2.ALIYEOA/KUOLEWA HALAFU AKAZINI
yaani mwanaume aliyeoa au mwanamke aliyeoa

3.ALIYERITADI DINI

Na kama si muislam basi atauawa yule ambaye anaupinga uislam kwa kuwazuia wasiabudu MUNGU wao ila yule ambaye ni muislam halafu anaendela na mambo yake basi ni dhambi kumuua na usilipize kisasi kwa mtu ambaye hahusiki katika vita hiyo na ndo maana hata Mtume wetu MUHAMMAD (S.A.W) alikuwa anawaambia maswahaba (R.A) wasimpige mzee,mtoto,mwanamke, wanyama na yeyote ambaye hahusiki na hiyo vita.

Kwa hiyo au wanaoua watu bila sababu yoyote ni wauaji tu mana uislam haujatufunfisha hivyo na wausingizia uislam ambao hahusiki.
Namalizia naruhusu kukoselewa na wasomi wa dini ya kiislam kwa nilipokosea


SOMA UISLAM USIMSOME MUISLAM
 
Mkuu huenda uko sahihi lakin huko madrasa makafir hawatakiwi. Labda wafundishaji ndio wanaopotosha

isitoshe neno JIHAD linamaana ndefu sana na nineno tata mno katika ulimwengu wa amani na upendo kati ya waislam na wasio waislam
 
Mkuu huenda uko sahihi lakin huko madrasa makafir hawatakiwi. Labda wafundishaji ndio wanaopotosha

isitoshe neno JIHAD linamaana ndefu sana na nineno tata mno katika ulimwengu wa amani na upendo kati ya waislam na wasio waislam

Hawa jamaa sidhani kama wanna muabudu huyu Mungu aliye tuumba sisi,biblia inasema mutawatambua kwa matendo yao,na siku tukikubali hyo mahakama yao ya kadhi ndio itakua balaa kabisa
 
Tuache kujifanya tuna busara kwa kuonyesha upumbavu wetu hivi wakristo pekee ndio wakenya?hivi wanajeshi wa Kenya walioko Somalia wote ni wakristo? Tusiwe tunaendekeza ujuha kwa kivuli cha Dini na sio tunasema mbona wasomali wanabakwa na wakenya then wakristo pekee ndo wanauwa. Ingekuwa watu wote waliuawa bila ubaguzi wa Dini ningeamini ni kisasi lakini kwa huo ubaguzi si kisasi bali ni ukosefu wa akili.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom