Kulikuwa na haja ya huyo wa kulia kufungua paja lionekane?Hapa hata nisipoalikwa ntaenda tu nikalipe kiingilio View attachment 814958
Ok.Sasa mpasuo huo ni kwa ajili ya nini mkuu... Huyo ndo anafaa kuwa mwanamitindo anajua kujiachia sio kitu umevaa afu unafichaficha
Huwa wanakuwa kama watu wakuchorwa.wanafeligi kwenye makeup tu wadada sijui nani aliwaambiaga wakienda kwenye sherehe lazima wakandike ma make up yasioendana na uhalisiwa wa ngozi zao,kuanzia bi harusi mpaka wageni waalikwa mtu make up kama kavaa mask.
Hahaha ukitizama uson na miguun vitu viwili tofautiwanafeligi kwenye makeup tu wadada sijui nani aliwaambiaga wakienda kwenye sherehe lazima wakandike ma make up yasioendana na uhalisiwa wa ngozi zao,kuanzia bi harusi mpaka wageni waalikwa mtu make up kama kavaa mask.
mi nshasema kabisa siku nitakapooa sitaruhusu mke wangu afanyiwe huo umajununi kwanza nitao kifaa cha ukweli kwahyo hakitahitaji hyo make up nyingi sababu atakuwa tayari ni mzuri so make up watamweka kidogo tu yaku rashiarashia na isimbadilishe muonekano wake aliokuwa nao kabla ya make up.Hahaha ukitizama uson na miguun vitu viwili tofauti
Hahaha wee nikm mimi, napenda sana mwanamke awe moderate na smart basi.mi nshasema kabisa siku nitakapooa sitaruhusu mke wangu afanyiwe huo umajununi kwanza nitao kifaa cha ukweli kwahyo hakitahitaji hyo make up nyingi sababu atakuwa tayari ni mzuri so make up watamweka kidogo tu yaku rashiarashia na isimbadilishe muonekano wake aliokuwa nao kabla ya make up.
Sasa asingefunua tungelionaje?Kulikuwa na haja ya huyo wa kulia kufungua paja lionekane?