Bowbow
JF-Expert Member
- Oct 20, 2007
- 541
- 31
Wana JF.
Kwanza kabisa napenda kutoa sikitiko langu kwamba JF tumeipa siasa, udini, mapenzi, udaku kipaumbele tukasahau kitu ambacho ni muhimu nayo ni sector ya utalii nchini.
Tafadhalini Mods, Invisible na JF mngmt. Fungueani jukwaa la utalii kwa haraka haraka Nyepesi unaweza kuinganisha na udaku tukapata space kwa ajili ya utalii.
Sababu kuandika haya ni pamoja na malalamiko yaliyowahi kutolewa siku za nyuma na leo nimekutana na jingine angalia hapa
http://www.tanzaniasafariwonders.com/aboutus.html
wameelezea kisha karibu (wakaweka bendera ya Kenya) as if Tanzania iko Kenya