Utalii wetu: Tutahujumiwa hadi lini??????

Bowbow

JF-Expert Member
Oct 20, 2007
541
31
Wana JF.

Kwanza kabisa napenda kutoa sikitiko langu kwamba JF tumeipa siasa, udini, mapenzi, udaku kipaumbele tukasahau kitu ambacho ni muhimu nayo ni sector ya utalii nchini.

Tafadhalini Mods, Invisible na JF mngmt. Fungueani jukwaa la utalii kwa haraka haraka Nyepesi unaweza kuinganisha na udaku tukapata space kwa ajili ya utalii.

Sababu kuandika haya ni pamoja na malalamiko yaliyowahi kutolewa siku za nyuma na leo nimekutana na jingine angalia hapa
http://www.tanzaniasafariwonders.com/aboutus.html

wameelezea kisha karibu (wakaweka bendera ya Kenya) as if Tanzania iko Kenya
 
Wana JF.

Kwanza kabisa napenda kutoa sikitiko langu kwamba JF tumeipa siasa, udini, mapenzi, udaku kipaumbele tukasahau kitu ambacho ni muhimu nayo ni sector ya utalii nchini.

Tafadhalini Mods, Invisible na JF mngmt. Fungueani jukwaa la utalii kwa haraka haraka Nyepesi unaweza kuinganisha na udaku tukapata space kwa ajili ya utalii.

Naungana nwewe moja kwa moja; sina kipingamizi (Big Nike)

Tena tungeanza na Pingamizi hili, ikiwezekana tuandame kabisa, maana ni tatizo ambalo linaanza kutuathiri sisi,zaidi kwa Vijana wetu wajao, bora sisi tutakuwa tumebahatika kuona uasilia wa Ziwa Natron;-

UPDATE ON THE LAKE NATRON ADVOCACY CAMPAIGN
Updated 08 April 2008

Lake Natron Resources Limited, a Company jointly Owned by the Government of Tanzania and TATA Chemical of Mumbai, India, proposes to develop a facility at Lake Natron to extract and process soda ash. As this proposal stands, it has the postential to damage or destroy the East African Lesser Flamingo population through disrupting the birds’ breeding at Lake Natron.

To nest successfully, Lesser Flamingos require very specific conditions. Lake Natron, but no other site, provides these. The propesed plant poses major risk to Lesser Flamingos from disturbance (including increasead populations of nest predators) and changes in the water balance and Chemistry of the lake. Soda ash mining also threatens the Toursim Industry throught East Africa and the livehoods of the local people whoi depend on the lake basin for their sustenance.

THESE RISKS ARE SO SERIOUS THAT BIRDLIFE INTERNATIONAL’S VIEWS IS THAT “THE PLANT MUST NOT BE BUILT”

BirdLife International and several other institutions are spearheading and advocacy campaign to save the Lasser Flamingos and maintain the integrity of Lake Natron (See BirdLife’s position on Lake Natron)

Tanzania Tour Operators Association (TATO)mko wapi!!!kwani ninyi ndiyo mnajua umuhimu wake kuliko hawa Wanasiasa. NEMC nanyi mmeshindwa nguvu na wanasiasa kweli!!!!

Nadhani iko haja ya kufanya maandamano ya Aman kuishinikiza Serikali isitishe Mpango wakuruhusu Ujenzi wa Kiwanda ilichokidhamiria: Hapa sasa ndiyo wadau wenyewe wa Utalii ndiyo wanatakiwa waonyeshe msimamo wao, na wala siyo kuandika Barua wizara ya Maliasili na Utalii.

Hivi kweli mmesahau swala la Laliondo, enzi za mzee Ruksa!!! wanyama wote waliishia kwenye Zoo huko Falme za Uajemi..tena hili mnataka liwe msiba mwingine??

Kibaya zaidi mwekezaji mwenyewe ni wale jamaa wanaopenda kuishi nyumba za msajili! Kweli wana JF tutakuja kulaumiana baadae kwa kulifumbia macho swala hili.
 
Back
Top Bottom