Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,780
- 61,442
Tatizo hao kunguni wataharibu ladha ya mapumzikoMakumbusho village itapendeza vinginevyo njoo Dom au Singida kwa kina Madelu ukabidhiwe gheto la Madelu ambamo hutokosa yote uliyotaja. Bonasi ya kunguni haiwezi kosa. Pombe na nyama choma ni kama kawaida.
Asante sana, twende tukanywe togwaKila la kheri
Togwa mi mmakonde๐Asante sana, twende tukanywe togwa
pombe yenu ya asili inaitwaje?Togwa mi mmakonde๐
Gongopombe yenu ya asili inaitwaje?
Inatengenezwaje?Gongo
Sijui niache bhna๐Inatengenezwaje?
Napendelea sehemu, ambapo watu wake wanaongea kilugha tuNenda Lazy Lagoon Island Lodge iko bagamoyo
Kama sio mpenda makelele uta enjoy
Akhaaa haya nenda umasainiNapendelea sehemu, ambapo watu wake wanaongea kilugha tu
Mmh sasa utaongea nao vipi au furaha yako ni kuona wao wakiongea๐๐๐๐๐Napendelea sehemu, ambapo watu wake wanaongea kilugha tu
Niandae vifaa vipi ili uje uitengenezeSijui niache bhna๐
Furaha yangu ni kuwaona wanavyotikisa midomoMmh sasa utaongea nao vipi au furaha yako ni kuona wao wakiongea๐๐๐๐๐
Hapana sifahamuNiandae vifaa vipi ili uje uitengeneze
Lol ๐Furaha yangu ni kuwaona wanavyotikisa midomo
Nakuona unavyojitikisaLol ๐
Acha uwoga weweHapana sifahamu