Utalii wa ndani (Chumbani)

Mandhari nzuri, wapi hapo.
 
nice,kweli hata kitonga panaweza kuwa hivyo,ni nia tu!
 
ha ha ha ha ha ha watu hawaipendi ccm balaa kwi kwi kwi kwi jamaa yangu nape akiona hizi comment sijui huwa anajisikiaje
 
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, hapo huwezi kugonga hata chips kavu
 
Kama gari yako huianini breki zake, basi hapo pasikie tu hivyo hivyo!!
 
Yaani ukiwa na gari ama pikipiki ukiweka namaba moja ni mpaka uumalize mlima wote lakini ujenzi umetulia sana .
 
inshalah..CCM watatoka..hii nimeipenda sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…