Utalii wa Mbuga ya serengeti na selu?

Utalii wa Mbuga ya serengeti na selu?

Ungetuwekra iyo gharama ni ya nn tujue na km Kuna mambo mengine pia yaweje Mkuu tusije tukaenda tukalala juu ya miti🤣🤣
Iliwahi kunikuta hii Rubondo, nikaambiwa gharama kumbe zinazidi bhana bhanaaaa,, kule hamna wakala wa mobile money,, gharama nilizoambiwa zilikuwa za kuingia tu kisiwani ila nauli na chakula hakuna,, nilisaidiwa na mkaka flani then tuliporudi mganza nikatoa hela yake nikampa,, gharama ilizidi mara kumi zaidi ya nilichoambiwa,,, sitarudia kama ni huduma nifike ofisi husika hapo ndo nakuwa na uhakika
 
Rubondo kutam sana , nilichomewa samaki ambao sijawahi kula popote,
 
Back
Top Bottom