Si watu wengi wamefika hapa Daraja la Mungu, lililopo sehemu inaitwa KK, karibu na chuo cha mafunzo Magereza.
Mto wote wa Kiwira unapita chini ya daraja hili.
Volcano crater Lake Ngosi.
Ziwa linalosemekana la maajabu, wenyeji wanyakyusa na wasafwa wanahadithia kuwa hilo ziwa "lilicheza" na kuhama toka sehemu lilipokuwa awali.
Ziwa lina kina cha karibu mita 100, wazee wa hapo karibu wanasema sharti upige hodi kabla ya kukaribishwa hapo.
Duh ni nzuri aisee, hembu tuletee photos zingine, nikiwa na nafaasi nitatembelea huko maeneo... Hivi ni wapi wamesema kuna maji ya mto/ziwa flani yana joto/moto in such away ukiweka yai linaiva>> Nadhani smomewhere Mbeya hukohuko

Mkuu sehemu za kuzunguka mlima Rungwe kuna maajabu mengi ambayo hayatangazwi.
Sehemu za maji moto ni nyingi sana, na yanakuwa maji yaliyochnganyika na gesi ya carbon dioxide.