Utalii na Uhifadhi - tubadilike

MSHAURI_WA_NCHI

Senior Member
Nov 10, 2015
139
73
Nashauri ni vema watanzania tubadilike uhifadhi tunaoufanya Leo si ule wa Mwaka 45. Chimbeni mabwawa ya Maji kwa aajili ya maliasili yetu. Kutegemea mambo ya asili kama mvua ni kuputwa na Wakati.

Makusanyo ya mapato yetu yanaweza ongezeka kama kutakuwa na nia ya makusudi kuwafuatilia wawekezaji wote wanaomiliki hotels na lodges na wanaoendesha game reserves zetu kama grumet na Loliondo wakalipia thamani sahihi ya mapato waipatayo kutokana na biashara ya utalii.
 
Back
Top Bottom