Utalii kwenye siasa (NUKUU)

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
803
Reaction score
867
"Utalii wa kisiasa ni pale ambapo mwenzako anazindua Ilani kwa ajili ya wananchi, wewe unashughulika kuimba taarabu kwa wananchi majukwaani na mitandaoni." β€” Alloyce, P.R.
 
Watanganyika wamechoshwa na;
Umasikini.
Ujinga.
Maradhi.

Miaka 64 ya uhuru maadui hawa bado wanatutesa mno.
 
Watanganyika wamechoshwa na;
Umasikini.
Ujinga.
Maradhi.

Miaka 64 ya uhuru maadui hawa bado wanatutesa mno.
"Hakuna maana ya kumkomboa Mwafrika kiuchumi kama bado amefungwa kifikra, maana utumwa wa akili ni hatari zaidi kuliko utumwa wa mali." β€” Alloyce, P.R.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…