utakwenda tu

we unadhani huyo mwanamke atamfikisha huko?
 
Huu mkono wa mama umekaa target nzuri kwa judo moja matata sana,sema kijana ni mchelemchele au anamheshimu mmama.
 
bi Fatou nae,,,,,,,,,,,,,,,,kamkwida vilivyo!!!
 
Mazee imekwidwa ile mbaya!!! Kwa mkwido huu kweli THE HAGUE ni karibu sana🙂
 
Huu mkono wa mama umekaa target nzuri kwa judo moja matata sana,sema kijana ni mchelemchele au anamheshimu mmama.

Usiombe yakukute hiyo kitu kwani unapaswa kuwa mpole hili mambo yasizidi kuaribika no matter you are right or not!!
 
Halafu hapo mbaba anavutwa huku akipokea nasaha za matusi kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…