Utakuwa wapi? Unakaribishwa tuserebuke!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,358
Wapendwa katika Bwana,

Nawasalimuni kwa upendo wa Agape.

Nadhani mnajua Jumamosi inayokuja ni Birthday ya Bwana Yesu. Kama kawaida yetu siku hii huwa lazima tuishehereke kwa namna tofauti. Kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine hawajaweka logistics za kuisherehekea siku hii, namkaribisha ajumuike nami ( Jinsia haiko kwenye itifaki).

Kwa ambaye atajumuika nami namwomba akariri haka kawimbo ambako ndiko tutafungulia shampeni baada ya kupiga kisusio cha mbusi mee na kuichakachua minyoo kwa mbege ya kopo:

Mbali kulee naaaasikia,
Malaika waaaa mbiiiinguniiii,
Wakiimbaa weeeeengi pia,
Wimbo huo juuu anganiiii
Glooooooh oooooooh oooooooooooh oooooooh riaaaaaa in excelsis Deeeeeeooooooh

Waaachungaaa tuaaaaaambieni,
Sababu ya wiiiiimbo huo,
Mwenye kwimbiiiiiwaaaaa ni nani,
Juu ya nani siiiifaaaaa hizoooooo

Je hamjuiiii jambo kuuuu,
La kuzaliwaaaa mwooookozi,
Sababu ya wiiiiimbo huuo,
Ni wa kumshukuru Mweeeeenyeziiii.

:drum::violin::humble::horn::cheer2::lalala::lalala::A S-heart-2::amen:

Kaizer kathibitisha uwepo wake kwenye kupiga organ, Nguli atakondakti, Kimey sauti ya tatu, Roya ya nne. Teamo atakuwa anamnywesha Gift mbege kwa mara ya kwanza. Finest atapiga ngoma, na wajukuu watkabidhiwa makayamba.

Watani zangu mnakaribishwa.

Heri ya Krisimasi na Mwaka Mpya kwa watakaofanikiwa kuuona. Amen
 
Thanx Asprin me nitakuwa nanyi kiroho heheheh Amen..nitunzieni shampeni non kilevi
 
Kiranja Mkuu a.k.a Supa Pawa Mabula nitakuwepo, nyie semeni tu eneo la makutano nami ntatia mguu nikiteremka kutoka kwa mwana punda
 
Jijini darisalama mukulu, then 26 tunakuwa mtumbwini kuelekea Ar kwa PJ.
 
Wapendwa katika Bwana,

Nawasalimuni kwa upendo wa Agape.

Nadhani mnajua Jumamosi inayokuja ni Birthday ya Bwana Yesu. Kama kawaida yetu siku hii huwa lazima tuishehereke kwa namna tofauti. Kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine hawajaweka logistics za kuisherehekea siku hii, namkaribisha ajumuike nami ( Jinsia haiko kwenye itifaki).

Kwa ambaye atajumuika nami namwomba akariri haka kawimbo ambako ndiko tutafungulia shampeni baada ya kupiga kisusio cha mbusi mee na kuichakachua minyoo kwa mbege ya kopo:

Mbali kulee naaaasikia,
Malaika waaaa mbiiiinguniiii,
Wakiimbaa weeeeengi pia,
Wimbo huo juuu anganiiii
Glooooooh oooooooh oooooooooooh oooooooh riaaaaaa in excelsis Deeeeeeooooooh

Waaachungaaa tuaaaaaambieni,
Sababu ya wiiiiimbo huo,
Mwenye kwimbiiiiiwaaaaa ni nani,
Juu ya nani siiiifaaaaa hizoooooo
Glooooooh oooooooh oooooooooooh oooooooh riaaaaaa in excelsis Deeeeeeooooooh

Je hamjuiiii jambo kuuuu,
La kuzaliwaaaa mwooookozi,
Sababu ya wiiiiimbo huuo,
Ni wa kumshukuru Mweeeeenyeziiii.
Glooooooh oooooooh oooooooooooh oooooooh riaaaaaa in excelsis Deeeeeeooooooh
:drum::violin::humble::horn::cheer2::lalala::lalala::A S-heart-2::amen:

Kaizer kathibitisha uwepo wake kwenye kupiga organ, Nguli atakondakti, Kimey sauti ya tatu, Roya ya nne. Teamo atakuwa anamnywesha Gift mbege kwa mara ya kwanza. Finest atapiga ngoma, na wajukuu watkabidhiwa makayamba.

Watani zangu mnakaribishwa.

Heri ya Krisimasi na Mwaka Mpya kwa watakaofanikiwa kuuona. Amen
Kwa wimbo HUU venue ni kanisani...Nadhani pale St MariaGoretti!
Labda sema wimbo mwingine wa kuhudhuria sehemu ingine tofauti na huo wa kanisani!...
 
Kanisani muhimu, kuiombea safari yetu ile. Manake bila maombi kuna baadhi ya wana JF hawachelewi kutafunwa na mafisi majike yenye mimba....Yanatafuna vibaya, usithubutu kukutwa!
 
Mbona unaniwekea limitation bwana?? Kwanini nisijeee???? Babu tafadhali bwana mbona hivyo?? Nitamtafuta DC sasa hivi usininyanyase kabisa!!!

Orait....tukutane pale pa siku ile tuarenji. Sawa?
 
Kanisani muhimu, kuiombea safari yetu ile. Manake bila maombi kuna baadhi ya wana JF hawachelewi kutafunwa na mafisi majike yenye mimba....Yanatafuna vibaya, usithubutu kukutwa!
Umesahau shairi la mwisho.

Na sisi tuende hima
Tufike kule aliko.
Tumwone mtoto na Mama,
Tuwasalimie huko
Glooooooooooooooo....!
 
Umesahau shairi la mwisho.

Na sisi tuende hima
Tufike kule aliko.
Tumwone mtoto na Mama,
Tuwasalimie huko
Glooooooooooooooo....!

Aisee nimekugongea senksi...sikujua kama wewe ni mwanakwaya pia. Kuna mwanakwaya mmoja marehemu bibi yangu alikuwa akikuimbia nyimbo za krismasi utashaa. Ngoja nimnukuu na huu mmoja:

Mwokosi kasaliiiiwa, tuimbe haleluya,
Mtukufu masiiiya, twimbe haleluya,
Tumtukuse, tumwimbie tumfanyie shangwe,
Mtukufu masiya leo amesaliwa,
Haleluya haleluya haleluyaaaaaa

Sasa sikumbuki alikuwa anaimba sauti ya ngapi.
 
Hommie nabeba ulanzi kabsaa kwa wale wasiotumia mbege!! Ishu ya kutengezesa kisusio niachiwe mimi!

Sasa babu atakuwa na kazi gani?....Hivi ulanzi kuna "KURIA KIDOKO?"
 
Sawa tukutane lini sasa leo au?? Mbona leo humalizii maneno vipi babu bado umebanwa na bibi nini???

Leo jioni bana. Mkoloni hana ujanja, lazima siku tatu hizi atorokwe tu, hamna jinsi. Usije na Finest lakini.
 
Sasa babu atakuwa na kazi gani?....Hivi ulanzi kuna "KURIA KIDOKO?"
hahaha hapo kwenye kuria itabidi baba Gift aje atuambie...Babu kazi yake itakua ni kuahakikisha hicho kisusio kinyweka na wale tu wanahurusiwa kunywa kisusia basi!
 
Back
Top Bottom