Utakuwa wapi Oktoba 25, 2015?

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,374
Reaction score
38,248
Habari wakuu!

Nimehamasika. Nimewahasisha.

Nimewahamasisha watu wangu wa karibu, Nimewahamasisha watu wa kaya yangu, Mungu akitujaalia kuamka salama October 25, tutafanya matumizi sahihi ya VIKATIO, na kwa idadi, kaya yangu ina watu 7, na wote wameniahidi mabadiliko!

Tumekubaliana baada ya matumizi sahihi ya VIKATIO siku hiyo, turudi nyumbani, mama yeyoo aandae pilau, Tv iwe ON, generator letu liwe full japo ni kuu kuu, simu ziwe full charged, wana kaya wawe karibu sana na JF, na kila latest ama breaking news isitupite.

Nimehamasika, nitakuwepo nyumbani!

Je, wewe utakuwa wapi October 25?
 

MKuuu naona unapima upepo humu, mtu ukipiga kura kinachofuata ni nini? si unarudi home kwenda kula sembe home? mimi ntakua nazungukazunguka mtaaani kama wewe utakua umelala!
 
Mimi baada kupiga kura,nitaenda musituni na Smartphpone yangu nikaendelee kupiga jalamba ili kulikabili goli la mukono.
 
Narudia kwa kusema "Kura yangu nitampa LOWASSA kwa kuichukia CCM."
Najua sijajibu swali lako lakini ni hivyo!
 

Mkuu mm nikipiga kura yng nalinda sitoki hapo mpaka kieleweke
 
Nikishamchinja huyu adui wa kijani naenda kukaa mpakani mwa rombo na Kenya.
Likinuka tu! Naomba uraia Kenya
 
Inatakiwa ukishapiga kura unaweka kambi mita mia kutoka kwenye kituo cha kipigia kura unaweka kambi hadi matokeo yatangazwe
 
Nitawahi kituo cha kupigia kura nikiwa full na kila kitu kinachohitajika (kichinjio,hot pot ya msosi etc)nikimaliza nitakaa mita 100 kutoka kituo changu ili kusubiri matokeo mpaka yatangazwe ili nishuhudie damu ya chama cha zamani ikimwagika baada ya kichinjio changu kutenda haki.
 
nitakuwa natafakari mwanasiasa mmoja kustaafu siasa bila heshima
 
Wewe utakua mkulima wa bangi safu Za milima ya usambara shout up ua mouth unapoteza muda hapa!hata hivyo kuna operation inakuja tutakupata tu.

Ukiacha udadapoa na akili zitakurudia.
Hapo ulipo si shemeji akija tu unamshobokea anakutoa? Subiri siku akichafukwa utaenda kujiuza pale kimboka 🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…