Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,230
- 3,332
Ukawa tunasubiri kura nyingi za CCM, tunajua kwa sasa mna makundi ambayo hayajawahi kutokea tangu chama kuanzishwa. Kama Lowasa akienguliwa kwa sababu ya Rekodi yake ya ufisadi wenye kiwango cha juu duniani hadi kuhonga Makanisa, Misikiti na kuhonga vijana njaa (4U Mov team), Team Lowasa watahamia Kwetu Ukawa na kutupigia Kura tuchukue nchi.
Team Membe isipopata nafasi ya Urais kwa sababu Membe hana tofauti na Kikwete, wote kuchekacheka tu na kuruhusu twiga wetu wasafirishwe kwenda nje, kuunga mkono utoroshwaji wa meno ya Tembo kwa ndege ya Rais wa China, Team Membe itapiga kura kwa Ukawa.
Team Mwigulu yenye style ya Kitoto ya kufanya kampeini kwa kuandika mawe ovyo ovyo, wataipigia kura Ukawa. Hili ndio kundi la ovyo kabisa maana Mwigulu amehusika katika kuwabambabikizia kesi za ugaidi Chadema, Kung'oa meno Ulimboka
Team Pinda, hii timu ikienguliwa CCM itatupigia kura Ukawa za kutosha. Hii team inampendekeza Waziri mkuu ambae pesa za Halmashauri zimeibiwa kama njugu katika historia ya nchii, Waziri mkuu ambae Pesa za Escrow zimechotwa chini ya usimamizi wake wa shughuli za Serikali.
Waziri mkuu ambae ana mamlaka ya kuzuia waganga wapiga tunguli ambao ndio wauwaji wa Albino, badala ya kupambana nao akaishia kulia Bungeni utadhani yuko Clinic
Nitaongezea taratibu wengine