Mbaya unapohangaika hivi afu ukijaribu kumwambia anakupotezea au anaona miyeyusho tu waweza jinyonga
pole ila sometimes inatokea hasa kwa wadada huwa ni shida sana maana unapigana na ile dhana ya kwamba huwezi mwambia mwanamme unamfeel atakuona hujatulia.
Na mara nyingi ni kweli ukimwambia anakuona hutatulia hapo ndo waweza kunywa sumu.