Utajuaje kuwa anakupenda au anakutumia tu....?

Wengine wakipewa pesa wanahisi waanapendwa na watoaji.
Wengine wakipewa zawadi, outing, nk.
Wengine hawajui kuwa wanapendwa hadi waambiwe ”I love you”.
Je wewe unamtambueje au unajuaje kuwa unapendwa?
 
Sisi wakurya lazima binti akupige mtama, ukianguka anakulalia kwa juu kisha anakuambia, malizia kama wewe ni mwanaume kweli.
Kwa kuwa wewe ni dume unamsindilia mangumi na mateke na vifuti ili kuonyesha upendo.

duh...kasheshe
 
Niliyewahi kuwa nae,alinijali na aliheshimu maamuzi yangu.Alitumia muda mwingi kujua magumu nayopitia na daima alinipa moyo, nilibeep kumuacha ila mwepesi wa kuomba msamaha.Aliweza kutenganisha Pesa,Mapenzi na Utu.
 
Wengine wakipewa pesa wanahisi waanapendwa na watoaji.
Wengine wakipewa zawadi, outing, nk.
Wengine hawajui kuwa wanapendwa hadi waambiwe ”I love you”.
Je wewe unamtambueje au unajuaje kuwa unapendwa?

Akinipeleka shambani na kunifunga jembe la ng'ombe shingoni
 
Jf its never borin.... Ila hapa sikupimana jaman yaan mmh! Kama ndo mm nakutoa nduki 2!
Jifunike naye shuka moja halafu toa kijambo cha uhakika, akitoa pua yake nje basi ujue hakupendi!!.
 
Back
Top Bottom