Utajuaje kama scientific calculator ni original?

Msinikumbushe kuhusu hzo calculators maana nilishawah kua na calulator nilitest vyote ipo okay naingia kwenye ue kitu kimekata kabla hata sjaanza exam afu mtihan wa accounts hesabu mwanzo mwisho..umakin unahitajika I see unaweza zimia ktk exam

haahaha duh! hadi hiyo EXP, 9 na left arrow?
 
Msinikumbushe kuhusu hzo calculators maana nilishawah kua na calulator nilitest vyote ipo okay naingia kwenye ue kitu kimekata kabla hata sjaanza exam afu mtihan wa accounts hesabu mwanzo mwisho..umakin unahitajika I see unaweza zimia ktk exam

Hivi vitu inabidi ununue mwanzo wa mwaka na una-practice kutumia sio siku ya mtihani ndio unanunua
 

Uko sawa mkuu.
 

Me yakwangu ni fx-991MS nilinunua 2008 hadi leo haijaisha battery nimeinunua kuanzia form 5 mpk sasa CPA naitumia i hope hii ni original tho kwa hiyo formula ya jamaa nakumbuka shule tukiitumia ilikuwa inakuja 25OK.. nashukuru kwa kunijuza kumbe hii njia ya OK it was wrong.
 
fYI niliinunua mwanzo wa semister ikaja nizimikia siku ya ue...how can u study accounts bila calculator?

Me yangu nilikuwa naitumia BAM na kwenye Accounts since 2008 march hadi nimemaliza form 6 nimeenda nayo chuo hadi 3rd year, nikamwazimisha mtoto wa PCM kamaliza na sasa naitumia mwenyeweCPA haijanizimikia.
 
Bonyeza M÷Y then bonyeza solve[shift +calc] ikileta "cant solve" basi ni orijino, ikileta "math error" ni feki
 
Mi yangu ni CASIO fx-991MS niliinunua mwaka 2002 mpaka leo naitumia, nimebadilisha betri mara 1 tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Safii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…