Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,475
Sijaiona mkuu, labda ujaribu kutuma tenaWajibu wa kupenda Ni wa mwanaume..Ila mkuu mwenzangu ushasema single mother hapo pambana na hali yako...Ila sikukatazi kuwa naye kuhusu hayo machangamoto usiwazie Sana mambo waga yanabadilika yataisha tu.....sema Nini mkuu Nina shida ya buku tano na Mimi nitumie kiushikaji tu natanguliza shukrani Asante .namba yangu nime KU PM JINA LITAKUJA JOHN
Single mother wanakuaje mkuu nipe uzoefu nisije ingi chakikeSingle mother mmmmh! Simo we achana nae mwanamke kama gogo huyo
Mkuu aliemzalisha kwa sasa ni marehemu,Yaan chakukushauri huyo hamna kitu empty set Jiondoe mapema utajuta kwanza hua wanakulana na aliyemzalisha
Ila kuna masingle mother wapo good wanaojielewa na msimamo ila huyo wako
DISHI LIMEYUMBA
usipotusikiliza ipo siku utarudi na uzi wako hapa
Huwa namwambia anasema tu samahani lakini sioni mabadilikoMatani pembeni...jaribu kuongea naye....mwambie yote uliyotuambia hapo juu...
Usipoweza kufunguka kwake sasa, kwenye ndoa itakuaje?
Yani mkuu ndio mimi nahisi hivyo kabisa .. DahMwanamke anayekupenda yu tayari kutoa muda wake, uhuru wake na mwili wake ili awe na wewe! Kinyume chake anakutumia
Aahhh kumbe anajua? Mtu akikupenda atakusikiliza...na haitakuwa shida kufanya yale yampendezayo ampendaye....Huwa namwambia anasema tu samahani lakini sioni mabadiliko
Mkuu swala la kuoa bikra, na swala la single mothers hiyo sio mada yangu.. ila nitajaribu kufuata ushauri wako ..Kuna watu zaidi ya watano au kama sikosei kuna mada zaidi kumi na zote hizo wanazungumzia kuhusu single mama na kuhusu swala la mtu kutaka kuoa uoe bikra kwahiyo mm sina la kukushauri zaidi upitie katika hizo mada limsemwalo lipo kama halipo basi lipo njiani laja
Hapo mkuu utapoteza mda wewe sakata papuchi tu upite zako hakuna mwanamke hapoHabari wakuu?
Nipo kwenye mahusiano na mwanamke ana mtoto mmoja, ambaye alimpata akiwa ndoani lakini baadae baba wa huyo mtoto alikufa kwa ajali. Anamtambulisha huyo mtoto kwangu kama baba yake kamili(kwangu hili sio shida)
Nataka nitoke kwenye ujana nafikiri huu ni muda sahihi kwangu wa kuoa, lakini huyu mwanamke simuelewi, nikimpa pesa ama kitu chochote hatoi shukrani.. Mfano anaweza kunambia ana shida ya elf 30 then nikimtumia kwenye simu hajibu kama ameipata na wala hasemi "asante"
Hajawai kunitamkia neno "Nakupenda" japo huwa anasema ananimisi. Nikimwambia sipo sawa haulizi kwanini wala hataki kujua sababu... Sanasana anapenda kunitamkia "Let me give you time & space, find me when you feel uko sawa"
Kiufupi hayupo romantic.
Nakosea wapi wakuu? Nilitaka nimuweke ndani maana kwenye 6*6 yupo vizuri ila hofu yangu ndio hiyo.
Mkuu aliemzalisha kwa sasa ni marehemu,
Bila kupoteza muda nataka nikwambie braza upo katika mahusiano ambayo unatumika na moja kati ya dalili unatumika ni pale mwanamke wako anapokuwa na shida ndio hujifanya mwema kwako na akishapata anachopata anachapa lapaa ushauli wangu kwako brooHabari wakuu?