Hivi mtu unaweza kusubiri kusimuliwa kama jua litachomoza au litazama? tangu mtoto wa kike anaanza kukimbia kimbia anaanza kuambiwa maneno ya kutongozwa (hey mchumba..!) na anapoanza kuota manyonyo ndio kabisa, na akianza kupata balehe ndiyo inakuwa ugomvi.. haijalishi msichana anakuambia au hakuambii ukweli ni kuwa atatongozwa akienda sokoni, akienda kanisani, akikaa darasani, akipita ofisini n.k
Mtoto wa kiume hivyo hivyo naye atatongoza hata migomba alimradi imekaa kimapenzi mapenzi..
so that given; mwisho wa siku ni uamuzi wa mtu kukataa au kukubali. Mwanamke utatongozwa kila wakati na kila mahali hata ujifanye mkali kama simba; lakini unayo nguvu yakukubali au kukataa. Ukikubali au ukikataa yote yanakuhusu wewe zaidi lakini yana gharama kubwa kwa mwenzio; na mwanamme vile vile.. unaweza ukaamua kumtongoza fulani au kutomtongoza au kukubali kutongozwa na mtu au kutokutongozwa lakini uamuzi wowote una gharama kwako na kwa mwenzio.
Mwisho wa siku (sijui kama ni siku ile ile!) tafuta na upate mtu atakayekupenda na ambaye kwake wanaume/wanawake wengine wote hawafui dafu. Kama unaye ambaye anazidiwa na mtu mwingine basi utajiunga katika ile clabu ya "wale"..
Afadhali umesema ndio maana mi sitaki kuambiwa lolote. Ntaangalia tu jinsi mwelekeo wa mambo ulivyo na siyo story ambazo ntaambiwa tu kama mhusika ataonekana halipi.sijui kama napenda kuambiwa au sipendi but ol I knw ni kwamba kumwambia mpz wako kuwa kuna jamaakakutongoza ni kwamba huyo jamaa hukumpenda na wala huna interest nae but ungekuwa unampenda n una interest wala husingesema.
Hivi mtu unaweza kusubiri kusimuliwa kama jua litachomoza au litazama? tangu mtoto wa kike anaanza kukimbia kimbia anaanza kuambiwa maneno ya kutongozwa (hey mchumba..!) na anapoanza kuota manyonyo ndio kabisa, na akianza kupata balehe ndiyo inakuwa ugomvi.. haijalishi msichana anakuambia au hakuambii ukweli ni kuwa atatongozwa akienda sokoni, akienda kanisani, akikaa darasani, akipita ofisini n.k
Mtoto wa kiume hivyo hivyo naye atatongoza hata migomba alimradi imekaa kimapenzi mapenzi..
so that given; mwisho wa siku ni uamuzi wa mtu kukataa au kukubali. Mwanamke utatongozwa kila wakati na kila mahali hata ujifanye mkali kama simba; lakini unayo nguvu yakukubali au kukataa. Ukikubali au ukikataa yote yanakuhusu wewe zaidi lakini yana gharama kubwa kwa mwenzio; na mwanamme vile vile.. unaweza ukaamua kumtongoza fulani au kutomtongoza au kukubali kutongozwa na mtu au kutokutongozwa lakini uamuzi wowote una gharama kwako na kwa mwenzio.
Mwisho wa siku (sijui kama ni siku ile ile!) tafuta na upate mtu atakayekupenda na ambaye kwake wanaume/wanawake wengine wote hawafui dafu. Kama unaye ambaye anazidiwa na mtu mwingine basi utajiunga katika ile clabu ya "wale"..
mimi naomba nisiambiwe kabisa.kama mtu ni mwaminifu NI MWAMINIFU TU!...ninachoamini mimi ni kwamba mke wangu hawezi kumudu kuniambia KILA ANAPOTONGOZWA!....
hata hivyo nafurahi sana mke wangu ANAPOTONGOZWA TONGOZWA!πππ
ooww really? why is that ?mimi naomba nisiambiwe kabisa.kama mtu ni mwaminifu NI MWAMINIFU TU!...ninachoamini mimi ni kwamba mke wangu hawezi kumudu kuniambia KILA ANAPOTONGOZWA!....
hata hivyo nafurahi sana mke wangu ANAPOTONGOZWA TONGOZWA!πππ
mimi naomba nisiambiwe kabisa.kama mtu ni mwaminifu NI MWAMINIFU TU!...ninachoamini mimi ni kwamba mke wangu hawezi kumudu kuniambia KILA ANAPOTONGOZWA!....
hata hivyo nafurahi sana mke wangu ANAPOTONGOZWA TONGOZWA!πππ
πKwa nini unafurahi Geoff ?
NI KIPIMO HALISI KABISA KWA MWANAUME NA NDOA YAKE KWAMBA anamudu kumpendezesha mkewe!kwamba ana-maintain her beautyooww really? why is that ?
πKwa nini unafurahi Geoff ?
Kakaakee mi najua kwa nini ila wape jibu afu na mi ntalisapotiooww really? why is that ?
hata bidhaa dukanii for instance eeh, kama haiuliziwi unahisi mmh imeshachokaa hii either nifanye sale au niipotezee kabisa.......NI KIPIMO HALISI KABISA KWA MWANAUME NA NDOA YAKE KWAMBA anamudu kumpendezesha mkewe!kwamba ana-maintain her beauty
πKwa nini unafurahi Geoff ?
ooww really? why is that ?
uzoefu umethibitisha kwamba unyumba unachosha sana na unamchakaza mwanamke HASA AKIWA KWENYE NDOA......!sasa unapoona mkeo anavutia kiasi cha kutongozwa,dah!nafurahi sana,na kwakweli siku hiyo ninaisherehekea kwa VALUU MBILIππ
kuna wakati mwenzi wako anakusimulia kuwa mtu fulani (ama unamfahamu au la) amemchokoza kwa kutaka wawe na mahusiano ya kimapenzi (amemtongoza).
I dont mind if he tells me... as long as he is ready to answer all the questions and we dont end up fighting... sometimes i take it lightly.. like may be we should invite her for a threesome or somethingπ ...
But I wouldnt dare tell him if someone is hitting on me... because he is that kind of person who will not take that...
sasa unapoona mkeo anavutia kiasi cha kutongozwa,dah!nafurahi sana,na kwakweli siku hiyo ninaisherehekea kwa VALUU MBILIππ
KAKA,G,
Pamoja na kwamba hukunijibu, utamwonaje au utajuaje mkeo anatongozwa?
I dont mind if he tells me... as long as he is ready to answer all the questions and we dont end up fighting... sometimes i take it lightly.. like may be we should invite her for a threesome or somethingπ ...
But I wouldnt dare tell him if someone is hitting on me... because he is that kind of person who will not take that...
mweh una moyo!!!!