Huyo hemed nilimshangaa sana siku moja alikuwa anaongea clouds fm, alipata dili ya ku act na wa Nigeria sharti walilompa ni apungue unene takriban kilo kumi na tano kwa miezi mitatu eti anajisifu kabisa eti niko bize sana siwezi kufanya mazoezi kwa sasa kupunguza unene, nikashangaa sana lkn nikaona ndo maana wasanii wetu hawavuki mipaka kwa ujinga wao wenyewe, eti yuko bizee labda na hiyo mijimama