Utajiri wa wasanii wa uganda:changamoto kwa wasanii wetu?

Iteitei Lya Kitee

JF-Expert Member
Jan 2, 2008
586
46
Link hii hapa chini yaonyesha ni jinsi gani entertainment industry Uganda inavyolipa tokana na mafanikio kadhaa wayapatayo wasanii wa kule,je tuna mikakati gani hapa kwetu ili kunufaisha wale wote walio katika industry hii??
AU INDUSTRY HII IPO KWA AJILI YA KUNUFAISHA WATU FULANI WACHACHE WA PALE CLOUDS na mapromota uchwara?
Ingawa mafanikio hayapimwi kwa ufahari wa magari haya ya wasanii wa kiganda lkn tutakubaliana kua hii ni dalili kua kuna hela kwenye industry yao,
Kushuhudia click link hii hapa chini'

Uganda Online - Photo Gallery, Entertainment, News & Breaking Stories
Uganda Online - Photo Gallery, Entertainment, News & Breaking Stories
http://www.ugandaonline.net/red_pepper/view/7766/uganda_s_richest_musicians
 
wasanii wa kibongo hawana hata ndoto za kuendelea dream zao ni ndogo kwa hiyo wanaridhika na kidogo wanachopata mfano ni ile interview ya Hemed faida kwake ni wanawake na ndio wasainii wengi wa kibongo lengo lao ni umaarufu, kupata mademu, ulabu na kuingia club bure baaasi ndo mana wako hivo
 
Huyo hemed nilimshangaa sana siku moja alikuwa anaongea clouds fm, alipata dili ya ku act na wa Nigeria sharti walilompa ni apungue unene takriban kilo kumi na tano kwa miezi mitatu eti anajisifu kabisa eti niko bize sana siwezi kufanya mazoezi kwa sasa kupunguza unene, nikashangaa sana lkn nikaona ndo maana wasanii wetu hawavuki mipaka kwa ujinga wao wenyewe, eti yuko bizee labda na hiyo mijimama
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom