Mugabonihela
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 307
- 1,822
- Thread starter
-
- #581
Ni kweli chief nakubali kwa 100% kuna makosa mengi ya kiuandishi, na hii inatokana au inasababishwa na mimi kukimbizana na muda kwani kuna majukumu yangu binafsi ambayo yanakula zaidi ya 70% ya muda wangu.Mkuu Mugabonihela nafuatilia kwa umakini sana simulizi hii. Iwe ni kweli au ya kutunga, salute mno kwa simulizi nzito. Kama alivyosema member mmoja Msanii kuwa kuna suala ya kisarufi kufanyia kazi. Pia suala la kingereza kwa kiasi kidogo tu. Mfano katika episode hii mwenyeji wako kakutukana hairless chimpanzee. Umeandika hearless chimpanzee na kutafsiri masokwe wagumu kuelewa. Ukweli ni kuwa alimaanisha sokwe wasio na nywele. Tuendelee mkuu. Tuko pamoja [emoji3577]
Nitaelezea mbele chief ndio maana nimesema huko mbele kuna balaa zito kuanzia kwa fatemeh mwenyewe mpaka kwa bwana mmoja bado hatujamuona anaitwa Jamshid.Mi nipo Sana mkuu, tuombe uzima, miongoni mwa nyuzi Kali Sana kuwahi kutokea hapa jf. Ilikuaje Hadi mwamba Javier akakamatwa na kuhukumiwa kifungo Cha maisha mwaka 2020?? Natamani kujua
Meku huyu Manuela sio mtu mzuri kumbuka kuna kauli alisemaDah meku umeingia kwenye rada zao mbwa MOSSAD aiii kama uliwatoka basi wew mangi halisi
Hili la Hutchinson port, ticts na DP world lina mengi ya kupasua kichwa tuliache tu mkuuHawa jamaa si walikuwa shareholders kwenye Ticts by 70%.
Ngoja tuwe na subra mekuNitaelezea mbele chief ndio maana nimesema huko mbele kuna balaa zito kuanzia kwa fatemeh mwenyewe mpaka kwa bwana mmoja bado hatujamuona anaitwa Jamshid.
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Apo unazungumzia lipi chief maana nimeahidi mengi sana mpaka mengine siyakumbuki"Nitaelezea siku nyingine"
Ni mengi sana umeahidi Chief, na tungeomba urudi kutuelezea baada tu ya kumaliza hili
[emoji23][emoji23][emoji23] nailedSio mbali ni Kilwa tu hapo.
Unaweza ukaenda peke yako.
Imewzaje kunitoa machozi hii adithi? Daaah i will always remember you marry My Love[emoji24][emoji24]Hii picha hapa ndio ajali ambayo nilimpoteza merry ambae aliaga dunia akipatiwa matibabu hospital ya rufaa ya mkoa wa morogoro nakumbuka ilihusisha mabasi matatu.
Najitahidi kupunguza baadhi ya matukio ili tufikie kwenye lengo kuu mapema.View attachment 2603889
Mi mtanzania wa kawaida kabisa tena ukiniona huwezi amini kama nimetembea huko duniani.Mwamba usije ukawa ni agent wa iran
Hili tatizo la sarufi natakiwa kulifanyia kazi mapema sana, na sio sarufi tu ata kingereza changu cha form 4 kinatakiwa kunyooshwa kidogo japo wazungu wananielewa vizuri tu.Huu ni mwanzo mzuri wa kuwa mtunzi wa 'novel' na uandishi wa vitabu!
Kitabu kitakuwa kizuri sana! Kuna mambo machache ya sarufi ambayo natumaini ukiwaona wataalam wa fani husika watakusaidia kuboresha maudhui yote! [emoji122][emoji122]
Tunapoelekea ndio balaa meku, huko juu hii simulizi imeanza kawaida sana ndio maana wengi wakisoma lines mbili tatu wana comments shit wanaondoka ila wangejua kinachofuata.
Anyway tuendelee kula mtori nyama zipo chini.
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile ap
Siku ukija moshi tuwasiliane mekuMi mtanzania wa kawaida kabisa tena ukiniona huwezi amini kama nimetembea huko duniani.
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Nitafanya hivyo ChiefSiku ukija moshi tuwasiliane meku