Hassan J. Mosoka
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 682
- 323
wanaoingizwa huko ni wale ambao vyanzo vyao vya pesa vinajulikana..sasa hao kina Lowasa wanavyanzo vinavyoeleweka?..unafikiri Chenge anaweza kukupa chanzo au alikovipaata vijisenti vyake?
Ukiona Jina lako halipo basi huna fedha una vijisenti mkuuHiyo list ni fake,hata mi sikuona jina langu
yangu nimeficha uvunguniUkiona Jina lako halipo basi huna fedha una vijisenti mkuu
hahahahaha mkuu umedhihirisha kuwa una vijisenti kabisaa, fedha haziwekwi uvunguni zikatosheayangu nimeficha uvunguni
Mali zote za Lowassa zimeandikwa kwa jina lake. Ni mjasiriamali
Ukiona Jina lako halipo basi huna fedha una vijisenti mkuu
Kamanda mpaka kesho maandishi hayathibitishi kama ni ya kwake.Hata ile hotel alikoibiwa mfuska Adam Malima pale Morogoro kaandika jina lake?
Tuna matajiri wakubwa mno, mtoa mada. Utajiri wao ni wa kificho, kwani source ni questionable na pia ni tax evaders. Mfano, Lft. General wetu alikutwa na account ZA yenye pesa kwa thamani ya Tzs 3 trilion. Haikukanushwa na chombo chochote. EL ana ownership ya makampuni makubwa ya uwakala wa simu, n.k. Ritz 1 bilionea wa kificho a.k.a Mosha n.k. Hawa huwezi kuwaona kwenye chombo chochote. In short matajiri wa kitanzania ni wakwepaji wakubwa wa kodi kama vile Suresh Patel, Y. Manji, Abood, Shabib, EL, Roast Tamu na wengine wengi tu. Laiti watu hawa wangelipa japo nusu tu ya kodi wanayostahili, tusingehangaika kuomba misaada ya vyandarua.Kwenye hii link kuna matajiri wakubwa wa Africa 2012 Nimetafuta jina la E. Lowasa sijaliona, wala hakuna Mtanzania yeyote katika hii orodha, si Rostam wala Mkono sasa najiuliza utajiri wao uko wapi??? You can lead here by yourself
http://www.naijapals.com/modules/naijapals/nigeria/topic,95633.0.html
Kwenye hii link kuna matajiri wakubwa wa Africa 2012 Nimetafuta jina la E. Lowasa sijaliona, wala hakuna Mtanzania yeyote katika hii orodha, si Rostam wala Mkono sasa najiuliza utajiri wao uko wapi??? You can lead here by yourself
http://www.naijapals.com/modules/naijapals/nigeria/topic,95633.0.html
Kama watanzania tungeacha umbeya, fitina, uongo, upashukuna, chuki, wivu, kusemana (hearsay and witch hunting) na TUKAWEZA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MAARIFA KWA FAIDA YETU WENYEWE NA NCHI YETU, tungefika mbali, lakini wapi! JF humu asilimia 80 ni wa aina hiyo, na wewe ni wa aina hiyo!Hata ile hotel alikoibiwa mfuska Adam Malima pale Morogoro kaandika jina lake?