kuna nyingine hapa naambiwa na yenyewe ni ya ukweli fully kinaijeria Dah ss hivi natoka kutoka kwa Lara moko
Wale wazee wazee wa nyanda za juu kusini, wazee wa ndumba, wazee wa kudumisha mila ama wazee wa kupulizia katika kusaka mahela wazua jipayaaaaaaaaaa!!!!!!
Baada ya kutoa makafara ya kuzika mtu hai, kumaliza familia, kugawa maisha kwa kuku kudonoa maisha sasa kusettle score utajiri wa kuoza mwili na funza waingia!!!!!!!!!!!!! Na inavosemekana ni science ya Malawi huko, no wonder huko matajiri ni wengi.
Waambiwa huo utajiri wenye mnakaa mke na mume na kujadiliana mmoja wenu akubali kukaa ndani siku 4 na kuoza kama maiti huku akitoa mifunza na funye funye, na Mwenzie either mume ama mke alibakia kumhudumia kwa kuchambua funza mmoja mmoja, ama funye funye mmoja mmoja kwa mkona wake na kisha kuwatia kwenye ungo na kuwamwaga. Funyefunye wale ndo mahela yenyewe, the many they come out of your body the better!!!!!!!! Yaaaakh!!
Huyo mkusanya hao funza hatakiwi kuona kinyaaa ama kusikia uchungu na kujutia kitendo chao cha tamaa. Akisikia simanzi na kudondosha chozi tu mtoa funye ana dead once n for all na deal ndo limeishia hapo. Kinachotakiwa ni kuwa na roho ya kutu, roho ya mchongoma, kukaza moyo SIKU 4 tu! Mkusanye funza za kutosha then BINGO!!!!! Mshatoka kimaisha! (This world is going insane)
Sasa basi kutokana na sharti MUWE MMEOANA, Vijana wengi sanaa matajiri wanaoa kwa kasi sanaaa, na mabinti usione unashobokewa ukajiona keki, ujiandae kutoa FUNZA na FUNYEFUNYE, kuoza na kunuka kwa siku 4 nzimaa thats the price for luxury. And hata akijiozesha yeye you wont be better off kukusanya zile organisims 1 by 1, daily for 4 days! Lord have mercy on you!
Ukiona mtu ana mihela anataka kukuoa fasta fasta think twice! Yamoto moto hio toka Kariakoo kwa ndugu zetu wa nyanda za juu kusini. Chinekeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!! Heeeeeeeeeeeeeiiiiiii!!!!!!!!! ! *Faints! Wakes up and faints again*