Hili GazetteGazeti la umbea
Watanzania wana chuki na baba yako mkubwa. Yataisha tu.Kama anaweza kuonesha vyanzo hakuna neno. Mapesa mbona yapo mengi sana kwenye mabenki, hata wewe kama unauwezo wa kuwaaminisha kwamba wazo lako litalipa na unao uwezo wa kurejesha unapewa hata bilioni sita fasta tu!