Tukwa1
Member
- Aug 14, 2015
- 74
- 19
Wengi tukisikia kauli hii fikra zetu zinaangukia kuwa yaani huyo jamaa anapesa kupindukia, au hata msemaji mwenye wa kauli hiyo alikuwa akitumia kwenye kumaanisha nini.
Lakini kwetu watanzania hasa vijana tunaitumia sana kwenye kumaanisha kweli huyo njamaa anapesa nyingi "mpunga mwingi" lakini jamani tutambua sio kila inapotumika tu hii kauli inamaana hiyo lahasha hata kuwa na lasrimali nyingi ni utajiri pia, wale wenye vipaji vyakuongae sana pia ni utajiri.
Wenye vipaji vya kucheza sana nao ni utajiri,wenye kipawa cha upatanishi,upendo nao ni utajiri.
Usijione mpweke muonekano wako tu ni utajiri pia usiwe mnyonge kisa huna pesa kutembea sana kwako pia ni utajiri tosha.