Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,036
- Thread starter
-
- #21
Tukifanya hivyo inatakiwa tupate kiongozi kama Gaddafi, is that possible?Kiongozi hoja yako inazua mjadala moja mrefu sana, tena unaoweza kusaidia hata muelekeo wa Serikali uliopo sasa. Ila tu mimi kwa kuanza, naomba nianze na njia ya kufanya...Natural Resources Zote za Nchi, ni lazima zimilikiwe na Serikali kwa asilimi 100. Kwa hiyo tunapoendelea kuziorothesha, basi hilo liwe ndio la kwanza kutekeleza.
Rubondo Island National Park
Mali bila daftari hupotea bila habari...Guys cool down. Yes Tanzania has natural resources in abundance. But I don't know why we should have to list them.Do you think once we have a comprehensive list, we will be able benefit and take advantage of them? I don't think so.
Mali bila daftari hupotea bila habari...
Hi Sanctus,
Kuna mkakati gani wa kimpangilio ndani ya TPN kuona idadi ya watanzania wenye kuzimiliki njia kuu za uchumi inaongezeka? Natural resources zetu ni kama tunazigawa kwa wawekezaji.
Kiongozi hoja yako inazua mjadala moja mrefu sana, tena unaoweza kusaidia hata muelekeo wa Serikali uliopo sasa. Ila tu mimi kwa kuanza, naomba nianze na njia ya kufanya...Natural Resources Zote za Nchi, ni lazima zimilikiwe na Serikali kwa asilimi 100. Kwa hiyo tunapoendelea kuziorothesha, basi hilo liwe ndio la kwanza kutekeleza.
Tukifanya hivyo inatakiwa tupate kiongozi kama Gaddafi, is that possible?
Mkuu wazo zuri sana,wilayani Karagwe kunaaminika kuna madini ya bati kila kona! Hivi majuzi tu watu walikuwa wanakwenda kuzika kuchimba tu kaburi wakakutana na madini ikawa tafrani kubwa watu wakaacha kuzika wakaanza kuchimba madini na baadae wafanyabiashara toka nje wakavamia hayo maeneo na kutumia fedha zao kumiliki hizo ardhi.sijafuatilia tena kinachoendelea huko Murongo wilayani karagwe mpakani kabisa na Uganda! Hayo madini ya bati hayaitaji technology ya kutisha na maeneo yaliyopo si umbali mrefu sana kwenda chini! Natoa rai binafsi kuwa tuunde wizara itayosheheni wataalamu lengo kuu ni kutafiti raslimali tunazozijua na ambazo hatujazivumbua ili tuziorodheshe zote! Kila tunachogundua kiwekwe kwenye list then wataalamu wetu watoe mapendekezo namna tutavyozitumia to get maximum benefit na ktk kutia mkazo mpango wowote wa uwekezaji lazima utokee huko kama dira yetu.Wizara hiyo tujaze vichwa kutoka kila taaluma ili yanapotoka mapendekezo yawe na mkakati wa namna ya kuraise fund ili hiyo miradi tuende wenyewe na pale tutapohitaji wawekezaji tayari tuwe na terms ambazo mwekezaji kwake ndio masharti ya kwanza kukubali kabla hata ya mazungumzo yoyote.Kiongozi tuko pamoja sana. Hakika hiki ndich Mwalimu JK Nyerere alichoasisi akifuata siasa za mlengo wa Ujamaa na Kujitegemea kwa kujifunza kutoka China na Urusi. China imefanikiwa sana hata baada ya kufanya Economy Reformation baada ya Mao Tse Tung kufariki 1978. Hebu tufanye marejeo kidogo toka Wikipedia:
Since economic liberalization began in 1978, China's investment- and export-led[198] economy has grown almost a hundredfold[199] and is the fastest-growing major economy in the world.[200] According to the IMF, China's annual average GDP growth between 2001 and 2010 was 10.5%, and the Chinese economy is predicted to grow at an average annual rate of 9.5% between 2011 and 2015. Between 2007 and 2011, China's economic growth rate was equivalent to all of the G7 countries' growth combined.[201] According to the Global Growth Generators index announced by Citigroup in February 2011, China has a very high 3G growth rating.[202]
As of 2012, China has the world's second-largest nominal GDP, totalling approximately 47.2 trillion yuan (US$7.47 trillion) according to the country'sNational Bureau of Statistics.[203][204] However, China's 2011 nominal GDP per capita of US$5,184 puts it behind around ninety countries (out of 183 countries on the IMF list) in global GDP per capita rankings.[6] If PPP is taken into account in GDP figures, China is again second only to the United States in 2011, its PPP GDP reached $11.316 trillion, corresponding to $8,394 per capita.[6] In 2009, China's primary, secondary, andtertiary industries contributed 10.6%, 46.8%, and 42.6% respectively to its total GDP.
Pamoja na pendekezo lako zuri, laki bado Sekta Binafsi inayo nafasi ya kuchochea kukua kwa Uchumi. hata hivyo hili linawezekana tu pale serikali inaposimamia vema na kukusanya kodi husika kwa kiwango kinachoridhisha na kwa kila kinachostahili. Sidhani kama hili linafanyika hasa ukizingatia kasi ya ufisadi ambao sasa hivi umekuwa ni staili ya maisha ya viongozi wetu.
Kama kuna ambaye anadai si fisadi, its just a matter of time kabla mambo yake hayajagunduliwa au yuko smart tu mambo yake hayajulikani.
Tunahitaji kuangalia kwa namna ya utekelezaji ni nini hasa kifanyike.