Utajiri kwa namna yoyote unatafutwa, nipeni connection

Status
Not open for further replies.
Hao waganga unaowatafuta nao wanasubiri watu kama nyie muwapelekee hela ili nao waishi
Imani dhaifu ndio inawafanya watu waamini hivyo

Mwaka 1950 Mzee alianzisha biashara ambayo na sisi tuliendeleza na sasa wajukuu ndio wanaifanya

We Kalia hayo hayo wakati wanangu wanapambana kwa sababu tumewafundisha kurudisha chenji wakiwa chekechea

Ukiingiza akilini kuwa hakuna utajiri bila ndagu basi utauwa mpaka mama yako kuusaka utajiri badala ya kupambana

Siamini uchawi bali kufanya kazi kwa bidii na bahati

Kwa kifupi tu: utajiri wa ndagu ni afadhali ya shida ulizonazo mara 1000! Acha kabisa upuuzi huu wa kufikiri kuna furaha kwenye utajiri wa kiganga. Hutakuwa huru kamwe na utateseka bila hata kuwa na uwezo au ruhusa ya kuwaambia familia yako na hutatoka huko pindi uingiapo isipokuwa kwa njia moja tu kama utakuwa na bahati: Yesu Kristo!
Yesu gani tena? Huyo aliyewaambia msimshauri kwa habari yake maana dini amesoma kama Nikodemo na anaijua?
 
Nenda congo pitia Uganda na ukirudi pitia uganda.ukipata dili kule la kuchimba au kufanya kazi unapiga pesa ya kufa mtu.dawa ya mswaki usd 10.
 
Kabla sijakushauri nina mambo kadhaa ya kukuuliza, je wewe kama weww una nini kilicho cha thamani?. (Namaanisha kipawa, karama, viwekezo. ama hata kipaji)

Pili unampango ama ndoto ya kufanya shuhuli ama kazi gani maishani mwako? Maana kuna utajiri ukipewa pesa unatakiwa uzizalishe ndio zile halali zitakuwa zako za kudumu. Na utafanya kazi ama biashara kwa bidii kuliko watu wote.

Mwisho kwa leo.. Una familia?
 
Kuna mganga yupo sinza kwa remi Hana masharti magumu sana. unatakiwa uende na carton 6 za Budweiser na Heineken carton 6 bila kusahau nyama ya nundu yenye mafuta kilo 5 pia uende na mkeo alale pale siku 2. hapo ukitoka baada muda utaenda kupata dili za mamailioni mpaka utashangaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom