Habari wanajukwaa, Tukiwa kwenye sherehe za wakulima leo tarehe 08/08/2024 nimepata wazo la kuanza biashara ya hardware kwa mtaji mdogo wa milioni 10, hapa nimelenga kugusa karibu kila sector katika ujenzi kwa kuanza na hivi vifaa ππ» Electrical items Insulation tape Bulb enery savers...