wapo wengi wengine wanetu pasipo kujuana.Kuna watu wanakuja kila siku hapa jukwaan kulialia juu ya mapenzi kumbe ni madogo!
hahahahaHivi mnauza bagia hapa ...
Je ukiota ndevu?Utajijua umekuwa pale unapoacha kufikiria sana kuhusu mapenzi badala yake unaanza kufikiria majukumu na maendeleo
mapenzi yapo pale pale nafikiria na natafuta vilevileUtajijua umekuwa pale unapoacha kufikiria sana kuhusu mapenzi badala yake unaanza kufikiria majukumu na maendeleo
Utajijua umekuwa pale unapoacha kufikiria sana kuhusu mapenzi badala yake unaanza kufikiria majukumu na maendeleo
πππPia ukilala sebuleni kwny kochi asubuhi akajikuta hapo hapo jua wewe tayari ni mzee baba