Farhad waziry
Member
- Mar 3, 2013
- 7
- 0
mfano una ishi dodoma.sasa siku moja umeamka alaf ukajikuta upo bukoba tena bila nguo yoyote ila nyumba ina fensi.alafu kwambali unasikia wenye nyumba wanaamka je utaongea neno gani wakuelewe?????????
Utakuwa ni wale wanaosafiri na ungo.....ikakosema majira na kuanguka. Lazma upokee kichapo