mheshimiwamtemi JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 291 Reaction score 226 Jun 19, 2020 #1 Leo tujifunze jambo kutoka kwa wenye ufahamu... Ikitokea ukaulizwa.. "Wewe ni nani"? Utajibu nini? Karibuni
Leo tujifunze jambo kutoka kwa wenye ufahamu... Ikitokea ukaulizwa.. "Wewe ni nani"? Utajibu nini? Karibuni
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,832 Reaction score 113,196 Jun 19, 2020 #2 Mimi nilikuwa mtoto wa aina hii, sasa jipe jibu ukubwani nimekuwa wa aina gani..[emoji23][emoji23]
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,719 Reaction score 98,899 Jun 19, 2020 #3 Blasto Ngeleja said: Leo tujifunze jambo kutoka kwa wenye ufahamu... Ikitokea ukaulizwa.. "Wewe ni nani"? Utajibu nini? Karibuni Click to expand... Obviously nitajibu mimi ni Joanah
Blasto Ngeleja said: Leo tujifunze jambo kutoka kwa wenye ufahamu... Ikitokea ukaulizwa.. "Wewe ni nani"? Utajibu nini? Karibuni Click to expand... Obviously nitajibu mimi ni Joanah
blance86 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 2,165 Reaction score 5,732 Jun 19, 2020 #4 Ushimen said: Mimi nilikuwa mtoto wa aina hii, sasa jipe jibu ukubwani nimekuwa wa aina gani..[emoji23][emoji23]View attachment 1483587 Click to expand... Umekuwa huyuu
Ushimen said: Mimi nilikuwa mtoto wa aina hii, sasa jipe jibu ukubwani nimekuwa wa aina gani..[emoji23][emoji23]View attachment 1483587 Click to expand... Umekuwa huyuu
Y Young Efe JF-Expert Member Joined Dec 17, 2019 Posts 337 Reaction score 250 Jun 19, 2020 #5 Mbona hujaweka majibu ya kuchagua?
Juakali jr JF-Expert Member Joined Aug 8, 2019 Posts 739 Reaction score 1,759 Jun 19, 2020 #6 Mimi ni Dexter mtoto wa jack ripper. Mimi ni serial killer