Utajauaje kwamba mwanaume ni bikra?

Njooo huku uskie, slim5
 
Last edited by a moderator:
Daah!! Hizi mada zengine! Anyway mkiwa chemba we mpige mido finga ya kija*bio akikunja sura na kuwa mkali jua sio bikra lakini akitabasamu aah huyo bikra.
 
Utamwona hajui mapenzi,ukiona anakubadilisha badilisha style ujue huyo kakubuhu.

Kubadiliswa styl cyo issue ww watu cku iz wanaspma sources mbalimbali ili kujfnza styl mbalimbali so kujua sty nyng siyo kigezo cha kukubuhu
 
utamjua maana atakua hajui machejo na mchecheto,

ila ukiona anakupa machejo, anakukunja kama samaki , anajua kuzuia wazungu

ujue umeliwa................

Wanaume wajanja sana atajifanya hajui hayo machejo ili umwone bikra! Mie bikra simtaki Wa kazi gani kuanza kumfundisha!! Maelewano nchi kavu baharini kuvua tu.,.,,
 
Due to globalization most people know much before they even practice it, so its beyond impossible to know if he is or not virgin.
 
Mimi bikira lakini kamwe siwezi kukosea pa kuingiza nimefanya field ya macho kwa zaidi ya
 

atakuuliza niingize wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…