Utaijua vipi Iphone 5 original ?

BabM

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
1,166
Reaction score
956
Wakuu nataka kununua iphone 5 ila nachanganyikiwa na specification ambazo zipo sokoni. Ukitazama website ya apple utaona wanasema RAM ya iphone 5 ni 1 GB na screen ni 4 inch. Lakini sokoni kuna zenye mpaka gb 3 na screen mpaka 4.7 inch hii inakuwaje? hizo zinakuwa fake au?
 
Fake hiyo
Njia rahisi kabisa ni kutafuta pc yenye itune then connect iphone yako, itune ikiitambua asilimia kubwa itakuwa original
 
Jaribu ku-install app yoyote ya ios inayorun kwenye iphone 5. Ikikataa ku-install hiyo ni fake.
 
Njia nyingine chukua kompyuta yeyote ya apple ambayo at least in Mac os x 10.6.8. Na ina updated iTunes. Iki itambua sim yako ujue ni original.
 
Nashukuru sema ni njia ngumu hii simu naagiza online inaletwa mlangoni natakiwa niitizame nione kama ni original nilipe ndio nikadhani kama kuna njia ya mkato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…