Utafiti: Wanawake weupe wanaringa kuliko weusi

kwahiyo wewe ni nini sasa, mbona unakosa kujiamini. umedondokea kwenye kundi gani? umeshaulewa kwanza ukieleza characteristics hapa nitajua tukuwa wewe mweupe au mweusi.
 
hongera kwa utafiti

inawezekana ktk utafiti wako, wanawake ulokutana nao wana asili ya maringo au walikuwa hawakupendi
 
hongera kwa utafiti

inawezekana ktk utafiti wako, wanawake ulokutana nao wana asili ya maringo au walikuwa hawakupendi
au unataka kusema labda walimkataa sasa ana bifu nao?hahaha
 
hongera kwa utafiti

inawezekana ktk utafiti wako, wanawake ulokutana nao wana asili ya maringo au walikuwa hawakupendi
Kati ya wote niliokutana nao, wengi tena weupe kwa uasili na kijikoboa bado walkuwa wanamaringo, hata kumuita tu umuulize jambo waliomekana kuwa na dharau kuliko weus ambao walikuwa wanasikiliza na kukujibu kwa ustarabu
 
kwan wewe ulikuwa unafanya utafiti juu ya nn?

inawezekana ulikuwa unatongoza

km ulikuwa unatongoza huo sio utafiti
 
Fungus zitawamaliza hao
 
Mimi ni binti wa ki Tanzania mkuu nina chocolate colour inayotunzwa na Vaseline.
Hizo chocolate colour ni tamu mno weupe hawana kitu ni maringo tu
Huku kwetu ukiwa na chocolate ndio unatoka sana
Hongera mdada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…